Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Valentine Ndege
Umepakuliwa mara 326 | Umetazamwa mara 1,451
Download Nota Download MidiHeri heri kila mtu amchaye Bwana, aendaye katika njia yake X2 Heri heri heri heri heri kila mtu amchaye Bwana, aendaye katika njia yake x2
1. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao vyumbani mwa nyumba yako, wanao kama miche ya mizeituni wakiizunguka meza yako.
2. Tazama tazama atabarikiwa hivyo mtu yule amchaye Bwana, Bwana akubariki toka Sayuni, uone uhai wa Yerusalemu.
3. Heri heri mtu yule amchaye Bwana aendaye katika njia yake.