Ingia / Jisajili

Nitaondoka

Mtunzi: Cylirus Albert Kaijage
> Mfahamu Zaidi Cylirus Albert Kaijage
> Tazama Nyimbo nyingine za Cylirus Albert Kaijage

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Cylirus Kaijage

Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 40

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nitaondoka nitakwenda kwa baba yangu, na kumwambia baba nimekosa, juu ya mbingu na mbele yako. sistahili kuitwa mwana wako tena, nifanye kama mmoja wa watumishi wako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa