Mtunzi: Fidelis. Kashumba
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis. Kashumba
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 2,345 | Umetazamwa mara 6,632
Download Nota Download Midi1. Nikiziangalia Mbingu kazi ya vidole vyako Mwezi pia na nyota ulizoziratibisha wewe;
Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Binadamu ni nani hata umwangalie.
Kiitikio; Wewe Mungu Bwana wetu lilivyo tukufu jina lako Duniani mwote x2
2. Umem-fanya punde mdogo, mdogo kuliko Mungu, umem-vika taji ya utukufu nayo heshima; Kiitikio...
3. Juu ya kazi za mikono, juu ya mikono yako ume-mta-waza u-metia vitu vyote chini yake; kiitikio.......
4. Kondoo pia ng'ombe wote na wanyama wanyama wa kondeni; Nde-ge wa angani na samaki wote baharini; kiitikio..