Ingia / Jisajili

Ewe Roho Mtakatifu

Mtunzi: Fidelis. Kashumba
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis. Kashumba

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 10,926 | Umetazamwa mara 18,301

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ewe Roho Mtakatifu, zawadi ya upendo wa ki Mungu.
Tunaomba, tushukie, utujaze mapaji ya ki Mungu.

 1. Hekima, na akili, zawadi ya upendo wa ki Mungu.
   
 2. Shauri, nazo nguvu, zawadi ya upendo wa ki Mungu.
   
 3. Elimu, na ibada, zawadi ya upendo wa ki Mungu.
   
 4. Uchaji, kwake Mungu, zawadi ya upendo wa ki Mungu.
   
 5. Tuyajali, maadili, zawadi ya upendo wa ki Mungu.
   
 6. Tuujali, utu wa mtu, zawadi ya upendo wa ki Mungu.
   
 7. Tuwe chumvi, tuwe mwanga, zawadi ya upendo wa ki Mungu. 

Maoni - Toa Maoni

Rogasian Hugho Mar 21, 2020
Mmbarikiwe

Joel Kakulu Mar 21, 2018
Safi kabisa kwa uinjilishaji

nicolaus shabate Jan 28, 2017
kwa wimbo huu namkumbuka sana shangazi mama gilbart amma wa dar nampongeza sana mtunzi wa wimbo huu

peter shabate Dec 18, 2016
Tudumishe utume wetu

nicolaus shabate Dec 18, 2016
tumsifu yesu kristu.......wimbo huu naupenda sana nakumbukia ubatizo wangu tar 29.6.2001

Toa Maoni yako hapa