Ingia / Jisajili

Nimetambua Uovu Wangu

Mtunzi: Charles Saasita
> Mfahamu Zaidi Charles Saasita
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Saasita

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Aloyce Family

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 30

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

1..Nimetambua uovu wangu, Kwani nimekukosea wewe Mungu na jamaa zangu.×2

2..Ninakuomba Muumba wangu, Unisamehe Uovu wangu wote unifanye upya×2

3..Usiniache niaibike Narudi kwako unipokee wewe uliye nifia.×2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa