Mtunzi: Kelvin Masoud
> Mfahamu Zaidi Kelvin Masoud
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Masoud
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: kelvin masoud
Umepakuliwa mara 307 | Umetazamwa mara 1,503
Download Nota Download MidiKiitikio...Nina njaa, nina kiu, Ee Mungu wangu ninakuja kwa unyenyekevu, ili nipate kula mwili wako na damu yako x2. unipokee, mimi mdhaambi, ninakuja kwako kwa upole na unyenyekevu, unipokee, mimi mdhaambi, ninakuja kwako kwa upole nipate uzima.
1....Nikikufikilia wewe Mungu ni wa ajabu, jinsi ninavyokutetendea, lakini wewe Mungu haya yote umesahau.
2...Unanilisha mwili wako pia na damu yako, jinsi unavyonithamini, kweli Bwana wastahili kusifiwa miilele.
3...Umetenda mengi Bwana kwangu yasiyo idadi, lakini ninajisahau, nakuomba Bwana usiniache nikapotea.