Mtunzi: Gasper Tesha
> Tazama Nyimbo nyingine za Gasper Tesha
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 706 | Umetazamwa mara 3,722
Download Nota Download MidiNinaomba maji maji ya uzima yale maji yasiyoleta kiu kamwe x2
Nipe maji Bwana nipe maji nipe maji Bwana nipe maji yaniongezee nguvu Bwana katika safari hii ngumu x2
1. Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya upendo
Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya huruma
Wala si maji ya kisima kama ya Yule mwanamke mwanamke msamaria
2. Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya furaha
Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya amani
Wala si maji ya kisima kama ya Yule mwanamke mwanamke msamaria
3. Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya hekima
Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya busara
Wala si maji ya kisima kama ya Yule mwanamke mwanamke msamaria
4. Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya ibada
Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya uchaji
Wala si maji ya kisima kama ya Yule mwanamke mwanamke msamaria
5. Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya ushauri
Nipe maji Bwana nipe maji Bwana ni maji ya elimu
Wala si maji ya kisima kama ya Yule mwanamke mwanamke msamaria