Ingia / Jisajili

Nitakushukuru

Mtunzi: Leo Lyimo
> Mfahamu Zaidi Leo Lyimo
> Tazama Nyimbo nyingine za Leo Lyimo

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Leo Lyimo

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nitakushukuru ee Bwana aah eeh,aah eeh ,mimina Baraka ee Bwana aah eeh,aah eeh

Nitakushukuru kwa zawadi yangu,nitakushukuru siku zote,Pokea zawadi niliyo andaa narudisha kwako ni mali yako

Pokea Baba na leta kwa moyo rathi,naomba Baba upoke,Sadaka yangu,majitoleo pia zaka naomba Baba upoke.

Mashairi.

1.Nitakushukuru Bwana kwa afya tele ulonipa,mbele ya miungu Bwana nitakuimbia zaburi.

2.Neema yako Bwana yatosha umenipigania, nitakushukuru Bwana siku zote za maisha yangu.

3.Katika furaha Bwana, umenipigania,nitasifu jina lako,nitashukuru milele yote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa