Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 2,032 | Umetazamwa mara 4,224
Download NotaUTUREHEMU EE BWANA KWA KUWA TUMETENDA DHAMBI X 2
1. EE MUNGU UTUREHEMU SAWASAWA NA FADHILI ZAKO
KIASI CHA WINGI WA REHEMA ZAKO UYAFUTE MAKOSA YANGU,UNIOSHE KABISA UOVU WANGU UNITAKASE DHAMBI ZANGU.
2. MAANA NIMEJUA MAKOSA YANGU, NA DHAMBI YANGU I MBELE YANGU DAIMA, NIMEKUTENDA DHAMBI WEWE PEKE YAKO,
NA KUFANYA MAOVU MBELE YA MACHO YAKO.
3. EE MUNGU UNIUMBIE MOYO SAFI,UIFANYE UPYA ROHO ILIYOTULIA NDANI YANGU,USINITENGE NA USO WAKO,
WALA ROHO WAKO MTAKATIFU USINIONDOLEE.
4. UNIRUDISHIE FURAHA YA WOKOVU WAKO, USINITEGEMEZE KWA ROHO YA WEPESI,EE BWANA UIFUMBUE MIDOMO YANGU
NA KINYWA CHANGU KITANENA SIFA ZAKO.