Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,062 | Umetazamwa mara 5,245
Download Nota Download MidiCOMPOSER LUCAS MLINGI
DON BOSCO CHOIR - ARUSHA
NOVEMBER 1998
Bwana Yesu Kristo kweli ni Mfalme utawala wake sio wa hapa ni Mfalme wa mbinguni, Kizazi hata kizazi, kizazi hata kizazi
1. Ndiye Bwana mfalme wa mbingu na nchi
2. Uhimidiwe Bwana wa mbinguni na nchi
3. Ushuhuda ni wako pia ni amini
4. Na utawale pote milele Amina