Ingia / Jisajili

Nitakushukuru (Zab 139)

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 18,522 | Umetazamwa mara 30,817

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nitakushukuru, nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa (kwa jinsi ya ajabu), kwa jinsi ya ajabu ya kutisha x 2

  1. Ee Bwana umenichunguza na kunijua, wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu, umelifahamu wazo langu tokea mbali.
     
  2. Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu, umeelewa njia zangu, njia zangu zote, njia zangu zote.

Maoni - Toa Maoni

Dkt. Bibiana A. Massawe Dec 24, 2023
Pongezi kwa nyimbo nzuri, na zenye melody nzuri. Huwa nafarijika sana nikiimba nyimbo zako. Na kanisa huwa linachangamka sana. Hongera mno!

Paschal Francis Mgassa Feb 27, 2019
Hongera kwa kazi nzuri, ila wimbo "Bustanini Gethsemane '' mtunzi ni Paschal Mgassa, na siyo Pascal Msasa,!!

Muchunguzi Kabonaki Nov 11, 2018
Wimbo mzuri na sauti maridadi. Hongera

godifrey masawe Nov 07, 2018
nimefarijika Sana kwa kazi ya kumuimbia mungu nakombea mungu azidi kukubariki mtumishi naipataje hii nyimbo

osea rugambwa Aug 21, 2016
natoa pongezi sana kwenu kwa kuliendelwza kanisa katoliki kwa nyimbo nzuri mm kama mwanakwaya hapa united kingdom nazidi kufurai sana naomba nitumiwe huu wimbo mzima katika whatsap yangu nitashkuru sana

Toa Maoni yako hapa