Ingia / Jisajili

Onjeni Muone

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 8,190 | Umetazamwa mara 16,581

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Onjeni muone ya kuwa Bwana ni mwema, heri mtu yule anayemtumaini, here mtu yule anayemtumaini x 2 

  1. Nitamhimidi Bwana kila wakati, sifa zake zi kinywani mwangu daima.
     
  2. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu, wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
     
  3. Mtukuzeni Bwana pamoja nami, na tuliadhimishe jina lake pamoja.
     
  4. Nalimtafuta Bwana akanijibu, akaniponya na hofu zangu zote. 

Maoni - Toa Maoni

Richard Njau Aug 15, 2024
Iko vizuri kwa wastani

Toa Maoni yako hapa