Ingia / Jisajili

Kristo Mfalme Anatawala

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 617 | Umetazamwa mara 833

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kristo Mfalme anatawala milele yeye ndiye Mfalme wa ulimwengu milele milele na ufalme hautakuwa na mwisho utawala wake ni wa milele milele X2

1. Bwana ametamalaki amejivika adhama Bwana amejivika na kujikaza nguvu

2. Kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani zamani wewe ndiwe uliye uliye tangu milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa