Ingia / Jisajili

Nitakwenda kwa Baba

Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 75 | Umetazamwa mara 366

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 24 Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nitaondoka nitakwenda kwa Baba yangu, nitaondoka nitakwenda kwa Baba yangu x2 {Ee Mungu, wangu unirehemu, sawasawa na Fadhili zako x2}

1.Kiasi cha wingi wa Rehema zako, uyafute Makosa yangu, Bwana na dhambi yangu imbele yangu daima.

2.Ee Mungu uniumbie Moyo safi, uifanye upya Roho yangu, Bwana yangu iliyotulia ndani yangu.

3.Usinitenge na uso wako Bwana wala Roho yako Takatifu, Bwana usiniondelee Bwana.

4.Ee Bwana ufumbue midomo yangu, na kinywa changu kitanena, Bwana kitazinena sifa zako.

5.Dhabihu za Mungu ni za Mungu Roho na Moyo uliopondeka, Bwana Ee Mungu hazitaudharauMaoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa