Mtunzi: Cylirus Albert Kaijage
> Mfahamu Zaidi Cylirus Albert Kaijage
> Tazama Nyimbo nyingine za Cylirus Albert Kaijage
Makundi Nyimbo: Noeli | Zaburi
Umepakiwa na: Cylirus Kaijage
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 4
Download Nota Download MidiBwana aliniambia ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa. Mimi leo nimekuzaa.
1. Wafalme wa dunia wanajipanga na wakuu, wanafanya shauri juu ya masiha wake.
2 Yeye anayeketi huko mbinguni anacheka, naye Bwana anawafanyia dhihaka hao wafalme.
3. Atukuzwe Baba Mwana naye Roho Mtakatifu, kama mwanzo na sasa na siku zote hata milele.