Mtunzi: F. Sheriela
> Mfahamu Zaidi F. Sheriela
> Tazama Nyimbo nyingine za F. Sheriela
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pasaka | Shukrani
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 1,372 | Umetazamwa mara 3,492
Download Nota Download MidiNITAMWIMBIA BWANA [F. Sheriela]
//Nitamwimbia Bwana, nitamwimbia Bwana, kwa maana ametukuka sana, Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini;
Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, naye ni wokovu wa---ngu.//x2
Mashairi
1. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; [Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza]x2.
2. Bwana ni mtu wa vi-ta, Bwana ndilo Jina lake; magari ya Farao / na jeshi lake, amewatupa baharini.
3. (III&IV) Maakida yake wateule wamezama katika Bahari ya Shamu; Vilindi vimewafunikiza, wamezama / vilindini kama jiwe.