Mtunzi: F. Sheriela
> Mfahamu Zaidi F. Sheriela
> Tazama Nyimbo nyingine za F. Sheriela
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 1,265 | Umetazamwa mara 3,578
Download Nota Download MidiTUTAKUKUMBUKA MILELE [F. Sheriela]
Chorus:
//Tutakukumbuka daima milele, daima milele tutakukumbuka.//x2
IIIb: Kaka yetu, tutakukumbuka kaka tutakukumbukax2
Mashairi:
1. Matendo yako, ya-ko hai myoyoni mwetu siku zote: Upendo wako kwa wahitaji, ucheshi wako kwa watu wote.
2. Ee Mungu Baba, tunakuomba umpokee Kaka yetu, umfikishe kwe-nye nuru ya uso wako huko mbinguni.