Mtunzi: F. Sheriela
> Mfahamu Zaidi F. Sheriela
> Tazama Nyimbo nyingine za F. Sheriela
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 529 | Umetazamwa mara 2,029
Download Nota Download MidiTUTAPATA NINI BASI? [F. Sheriela]
//Tumeacha yote sisi, tumekufwata wewe ee Bwana,
[tutapata nini basi?, tutapata nini basi?]x2 //
1. Mtitume wa Yesu waliposikia, madai magumu ya Ufalme wa Mu-ngu, walipata shaka wakamwuliza Yesu, "Tutapata nini sisi basi?"
2. Yesu akajibu akasema, "Hakika, nitakapoketi kwenye kiti cha e-nzi, mtakalia viti kumi na viwili, kuwahukumu wana wa Israeli."
3. "Na kila mtu aliye acha nyu-mba, au wazazi au ndugu au ma-li,atapokea mara mia duniani, na kuurithi uzima wa milele."