Ingia / Jisajili

Nitume Mimi

Mtunzi: George Ngwagu
> Mfahamu Zaidi George Ngwagu
> Tazama Nyimbo nyingine za George Ngwagu

Makundi Nyimbo: Miito | Shukrani

Umepakiwa na: George Ngwagu

Umepakuliwa mara 462 | Umetazamwa mara 926

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Katika masikio ya ndani ya Moyo wangu Nimesikia sauti yako Ee Mungu wangu yauliza ntume nani kulitangaza Neno lako Mungu Mungu wangu . 2.Isikieni sauti yake Mwenyezi Mungu Inatafuta Watendakazi Washamba lake Shamba lake mwenyezi Mungu Nikubwa sana nawatenda kazi niwachache. KIITIKIO Nitu me nitume mimi Bwana nitu me nitume mimi Bwaana Nitume mimi Bwana nitangaze neno lako KIBWAGIZO Ee Bwana masikio ya sikia Sauti yako inaniita nimesikia sautiyako ninaitika na wito wako Ninakuomba imungu wangu unitume . Nitume Bwana nitu me nitume mimi Bwana wangu nitume Nitume Nitume Mimi Mungu wangu nitume Nitume Nitume mimi...

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa