Ingia / Jisajili

Njoni Kwangu Mnaosumbuka

Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 562 | Umetazamwa mara 3,271

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Njoni kwangu ninyi nyote mnaosumbuka njoni kwangu ninyi nyote mnaosumbuka na kuelewa na mizigo na mizigo nami nitawapumzisha nitawapumzisha x 2

  1. Jitieni nira yangu mjifunze kwangu, kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo.
     
  2. Nanyi mtapata raha nafsini mwenu kwa maana nira yangu ni laini na mzingo wangu ni mwepesi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa