Mtunzi: Sebastian Don Ndibalema
> Mfahamu Zaidi Sebastian Don Ndibalema
> Tazama Nyimbo nyingine za Sebastian Don Ndibalema
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: Sebastian Ndibalema
Umepakuliwa mara 879 | Umetazamwa mara 2,126
Download Nota Download MidiKwa
Bwana kuna fadhili, Kwa Bwana kuna fadhi-li
Na kwake kuna ukombozi mwingi x 2
1.
Ee Bwana toka vilindini nimekulili - a Bwana usikie sauti yangu uisikilize
Masi - ki - o - yako na yasikili - ze yaisikilize - sa - uti ya - dua zangu
2.
Bwana - kama wewe unge - hesabu mao - vu E e Bwana nani angesimama a - ngesimama
Lakini
kwa - ko - kuna msama - - - ha ili
Bwana wewe - uogopwe uogo - - pwe
3.
Nimemngoja Bwana roho yangu
imemngoja na neno lake nalitumaini nalitumaini
Nafsi
yangu inamngoja Bwa - - - - - na kuliko
walinzi waingojavyo asubu - - hi
4.
Maa - na kwa Bwana kuna fa - dhi - - - li na - kwa - ke kuna ukombozi mwi - - - - ngi
Yeye atamko - mboa Israe - - - li atamkomboa - na maovu yake yo - - te