Ingia / Jisajili

NJONI WATOTO WAPENDWA

Mtunzi: Erick Daniel Kassindi
> Mfahamu Zaidi Erick Daniel Kassindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Daniel Kassindi

Makundi Nyimbo: Miito | Ubatizo

Umepakiwa na: ESSAU NDABABONYE

Umepakuliwa mara 191 | Umetazamwa mara 1,156

Download Nota
Maneno ya wimbo

Njoni njoni njoni njoni watoto wapendwa.Bwana amewateua ili muwe wateule wake,Leo sasa mumekuwa wanae pia viumbe wapya zitunzeni sasa kwa uaminifu ahadi za ubatizo

1.Leo sasa mmeupokea mwanga wa kristo ingieni sasa zizini mwake Bwana Mungu wetu.

2.Mumekuwa wana kanisa na wana wa Mungu karibuni sasa zizini mwake Bwana Mungu.

3.Mwanga mlioupokea ni ishara ya kwamba mkimwita Mungu ataitika nakuwapa nguvu.

4.Muwe nayo matendo mema maishani mwenu mkimwita Mungu ataitika nakuwapa nguvu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa