Ingia / Jisajili

Njoo Bwana Utuokoe

Mtunzi: Bonface Wekesa
> Mfahamu Zaidi Bonface Wekesa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bonface Wekesa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio | Mwanzo

Umepakiwa na: Bonface Wekesa

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 46

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Njoo Bwana Utuokoe *Njoo njoo Bwana njoo kwetu, njoo njoo Bwana utuokoe ×2* 1. Wote walio vipofu wanapata kuona tena. 2. Wote walio viwete wanapata kwenda Kwa miguu. 3. Wote walo' na ukoma wanapata kutakatifuzwa. 4. Viziwi wanasikia, wafu wote wanafufuliwa. 5. Na maskini wote wanahubiriwa habari njema.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa