Ingia / Jisajili

Twendeni Hekaluni

Mtunzi: Bonface Wekesa
> Mfahamu Zaidi Bonface Wekesa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bonface Wekesa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Bonface Wekesa

Umepakuliwa mara 62 | Umetazamwa mara 105

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
*Twendeni Hekaluni* Twendeni hekaluni mwa Bwana, kwa shangwe na furaha ni nyumbani mwake Bwana naye katualika sote, usisite ndugu yangu usisite dada yangu baba mama na watoto Bwana katualika ×2 1. Nyumbani mwake Bwana twapata neno la Mungu, ni mwongozo wa maisha matakatifu. 2. Nyumbani mwake Bwana twapata msamaha, ni ishara ya upendo wa Mungu Baba. 3. Nyumbani mwake Bwana twapata karamu yake, mwili wake na damu yake ni uzima.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa