Ingia / Jisajili

Twakutolea Vipaji

Mtunzi: Bonface Wekesa
> Mfahamu Zaidi Bonface Wekesa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bonface Wekesa

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Bonface Wekesa

Umepakuliwa mara 34 | Umetazamwa mara 65

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
*Twakutolea Vipaji* Mungu twakutolea Vipaji vyetu, Mungu twakutolea vipaji vyetu ×2 Uvipokee uvibariki, tupate baraka tele×2. 1. Mkate na divai twakutolea, twaomba uvigeuze, mwili pamoja na damu ya mwanao. 2. Umetujalia mifugo wengi, mazao ya mashambani, twakutolea tupate baraka tele. 3. Tunakutolea na fedha zetu, ijapo kuwa kidogo, kazi ya mikono yetu uibariki. 4. Umetujalia uhai bure, na pumzi tulio nayo, twakutolea vipaji viwe shukrani.

Maoni - Toa Maoni

Emmanuel lagat Jan 26, 2024
Hongera

Toa Maoni yako hapa