Ingia / Jisajili

Njoo Moyoni Mwangu

Mtunzi: Deogratius Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratius Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Rwechungura

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 16 | Umetazamwa mara 27

Download Nota
Maneno ya wimbo
NJOO MOYONI MWANGU Njoo, njoo moyoni mwangu Yesu njoo, njoo unishibishe x2 1. Ulisema We chakula, tule tupate uzima, njoo Yesu nishibishe. 2. Ulisema We kinywaji, tunywe tupate uzima, njoo Yesu nishibishe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa