Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Ndiwe

Mtunzi: Deogratius Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratius Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Rwechungura

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 33

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wewe Bwana ndiwe Mtakatifu wa Mungu x2 1. Sheria ya Bwana ni kamilifu, huiburudisha nafsi / Ushuhuda wa Bwana ni amini / Humtia mjinga hekima. 2. Maagizo ya Bwana ni ya adili, huufurahisha moyo / Amri ya Bwana ni safi / Huyatia macho nuru. 3. Kicho cha Bwana ni kitakatifu, kinadumu milele / Hukumu za Bwana ni kweli / zina haki kabisa. 3. Ni za kutamanika kuliko dhahabu, kuliko wingi wa dhahabu safi / Nazo ni tamu kuliko asali / Kuliko sega la asali

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa