Maneno ya wimbo
                NJOONI TWENDE NYUMBANI                                                                                 
Kiitikio:
Njooni twende nyumbani mwake Bwana anatuita twende, njooni nyote tuingie, tumwombe mahitaji, tumshukuru Mungu wetu, njooni tumwsbudu. x2
1. Anatuita tukamwimbie, wimbo mpya kwa shangwe kuu; (Njooni nyote tushangilie, njooni timwsbudu. x2)
2. Hata wewe usipomwimbia, atafanya mawe yaimbe; (Yamsifu milele you're, Bwana Mungu wetu. x2)
3. Nyumba ya Bwana milango wazi, njooni nyote tukaingie; (Tumwabudu tukamwombe, Bwana Mungu wetu. x2)
4. Tumtolee sadaka safi, Mungu wetu Baba Mwenyezi; (Tujitoe sisi wenyewe, kwake Mungu Baba. x2)
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu