Ingia / Jisajili

Ole Wenu Manabii Wa Uongo.

Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Paulo prince kabazo

Umepakuliwa mara 50 | Umetazamwa mara 54

Download Nota
Maneno ya wimbo
K/. Ole wenu ninyi manabii wa uongo ole wenu ole wenu, mnawadanganya watu wengi ( wengi sana ) mnajifanya manabii kwakutabiri uongo, nasema ole wenu ole wenu (mimi) nasema ole wenu manabii wa uongo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa