Ingia / Jisajili

Sasa Niwakati Wakumtolea

Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo

Makundi Nyimbo: Misa | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Paulo prince kabazo

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 35

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  • K/ Sasa niwakati wakumtolea Mungu sadaka (sasa) x2. Fedha za mifukoni hima enenda ukamtolee ( fedha) x2

  • 1. Ulicho andaa sasa niwakati ndugu simama ukamtolee Mungu, japo nikidogo usisite nenda ndugu simama ukatoe shukurani.
  • 2. Sehemu ya pato lako umtolee ndugu...
  • 3. Kumbuka makuu amekutendea ndugu...

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa