Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
                     
 > Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo                 
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Misa | Zaburi
Umepakiwa na: Paulo prince kabazo
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiK/ Endendeni enendeni, enendeni duniani kote X2
Mkatangaze mkatangaze habari njema duniani kote.
1. Msifuni Bwana enyi mataifa yote, mtukuzeni enyi makabila yote
2. Maana wema wake umesimikwa juu yetu, uaminifu wa Bwana ni wamilele.