Ingia / Jisajili

CHAKULA CHA BWANA

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 204 | Umetazamwa mara 1,016

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chakula Cha Bwana sasa tayari anatualika tukampokee X 2.anatualika Bwana yesu sasa chakula tayari kwake Bwana twende tukampokee Bwana wetu yesu.mwili wake Ni chakula Kweli Damu yake Niki nywaji (Bwana yesu)Anatualika twende tupate uzima.(1).Twende tukampokee Bwana kea unyenyekevu ametuandalia chakula chenye uzima.(2).Bwana yesu Ni chakula pia Ni kinywaji atualika twende tukale Cha kula.(3).EE BWANA yesu wangu wewe ndiye tegemeo rangu Nina kuja kwako Bwana wangu nipateuzima wamilele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa