Ingia / Jisajili

Onjeni Mwone

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 125 | Umetazamwa mara 496

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema, onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema 1.Nitamhimidi Bwana kila wakati sifa zake zikinywani mwangu daima katika Bwana nafsi yangu itajisifu wanyenyekeve wasikie wakafurahi. 2.Mtukuzeni Bwana pamoja nami na tuliadhimishe jina lake pamoja nalimtafuta Bwana akanijibu akaniponya na hofu zangu zote. 3.Wakamwelekea macho wakatiwa nuru wala nyuso zao hazitaona haya masikini huyu aliita Bwana akasikia akamwokoa na taabu zote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa