Ingia / Jisajili

Ulale Salama

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 34

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yako ndugu yetu mpendwa sana ulale salama×2 1.Vita umevipiga mwendo umeumaliza ulale salama ndugu yetu 2.Ni kazi yake Bwana tunashukuru kwa yote ulale salama ndugu yetu 3.Twakuombea kwa Mungu pumziko la amani ulale salama ndugu yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa