Mtunzi: Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Mfahamu Zaidi Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Tazama Nyimbo nyingine za Poi Tobiasi Mkwalakwala
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Thobias Poi
Umepakuliwa mara 391 | Umetazamwa mara 1,320
Download Nota Download MidiPalitokea mtu Ametumwa kutoka kwa Mungu, JIna lake Yohane. Huyo alikuja kwa ushuhuda
Ili aishuhudie ile nuru, na kumwekea Bwana tayari Watu waliotengenezwa
1. Huyo hakuwa ile Nuru, Bali alikuja ili aishuhudie ile nuru