Ingia / Jisajili

Tataniita

Mtunzi: Deogratius Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratius Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Rwechungura

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 6

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ataniita nami nitamwitikia, (nitamwokoa, na kumtukuza, kwa siku nyingi nitamshibisha)x2 1. Kwa kuwa amekaza kunipenda nitamwokoa/ Na kumweka palipo juu/ Kwa kuwa amenijua jina langu. 2. Ataniita nami nitamwitikia / Nitakuwa naye taabuni / Nitamwokoa na kumtukuza

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa