Mtunzi: Roy Kimathi
> Tazama Nyimbo nyingine za Roy Kimathi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Roy Kimathi
Umepakuliwa mara 923 | Umetazamwa mara 3,148
Download Nota Download MidiPOKEA SADAKA ZETU
Pokea sadaka zetu, Pokea (Baba) sadaka zetu, twakutolea kwa moyo mwema, uzipokee na uzibariki.x2
Ee Baba Ee Baba uzibariki x2
1. Pokea sadaka zetu ni mazao ya mashamba twakuomba ewe Bwana uzibariki
2. Pokea sadaka zetu nazo fedha za mifuko twakuomba ewe Bwana uzibariki
3. Pokea sadaka zetu ukarimu wa mioyo twakuomba ewe Bwana uzibariki
4. Pokea sadaka zetu ni mapato ya mikono twakuomba ewe Bwana uzibariki