Mtunzi: Roy Kimathi
> Tazama Nyimbo nyingine za Roy Kimathi
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Roy Kimathi
Umepakuliwa mara 965 | Umetazamwa mara 2,825
Download Nota Download MidiShangwe Amefufuka
Shangwe na furaha leo kafufuka Yesu Kristu Bwana leo kafufuka x2
Ni furaha leo ni furaha leo Bwana kafufuka x2
1. Yesu Kristu kafufuliwa katika wafu kaketishwa kwenye enzi ya Baba,
Ni furaha leo, ni furaha leo Bwana kafufuka
2. Mauti imemezwa na ushindi ewe mauti kuna wapi ushindi wako
Ni furaha ...
3. Mungu amemfufua Bwana wetu Yesu Kristu nasi tutafufuliwa
Ni furaha ...
4. Mtu akiwa katika Kristu amekuwa kiumbe kipya amefufuliwa
Ni furaha ...