Mtunzi: Andrew W. Kiwango
> Mfahamu Zaidi Andrew W. Kiwango
> Tazama Nyimbo nyingine za Andrew W. Kiwango
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Andrew Kiwango
Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 11
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Pentekoste
Roho ya Bwana Imeujaza ulimwengu, nayo inayoviungamanisha viumbe vyote, (hujua maana ya kila sauti aleluya! x2)
1. Pendo lakke Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na roho mtakatifu tulopewa sisi aleluya!
2. Roho mtakatifu wa mapaji uje kwetu, mwenye hekima na shauri, elimu, ibada na uchaji, washa mapendo yako aleluya!