Ingia / Jisajili

Sadaka Ya Malimbuko

Mtunzi: Joseph Joshua
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Joshua

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Joseph Lazaro

Umepakuliwa mara 65 | Umetazamwa mara 126

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sadaka ya malimbuko yako nenda ukamtolee Mungu wako, Uliyoyaweka kwa wiki nzima nenda ukamtolee Mungu wako. Inuka kwa Moyo mweupe ukamtolee Mungu wako yeye ndiye anayekulinda hadi kufika siku yaleo navitu vyote tulivyo navyo nimali yake, twendeni sasa tumtolee Muumba wetu, 1. Tunapomtolea Mungu sadaka ya kumpendeza hatutapungukiwa na kitu.....

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa