Ingia / Jisajili

Sadaka Ya Sifa

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 122 | Umetazamwa mara 223

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SADAKA YA SIFA KIITIKIO: Ni wakati wa kutoa sadaka, huu ni wakati wa kupeleka sadaka kwa Mungu, Hima waumini twendeni tukatoe sadaka ya sifa tuliyo iandaa kumbuka kutoa ni moyo kutoa ni moyo wala sio utajiri, ukijua sadaka ya leo ni hazina unayojiwekea mbinguni. MASHAIRI; 1. Ni wakati mzuri wa sadaka, waumini twendeni tukamtolee. 2. Sadaka ya sifa ndiyo sadaka inayompendeza muumba wetu. 3. Mkono wa kushoto usitambue sadaka ya sifa umtoleayo. 4. Utoapo sadaka kwa moyo safi waiweka hazina yako mbinguni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa