Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Furaha Mbughi
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiSADAKA YANGU (F.Mbughi)
Tazama ninaleta kwako sadaka yangu ya unyonge wangu x2
Uipokee (pokea Bwana), uibariki (uibariki), uitakase (Ee Bwana) unipe neema,
Ee Bwana Mungu (Ee Bwana Mungu), unijalie (unijalie), upendo wako (upendo) uwe nami daima.
1. Bwana kweli mimi sifai mbele zake, Bwana nakuomba unipe ne'ma zako.
2. Kila nitoacho naona hakifai, wewe wanijua pokea nafsi yangu.
3. Shida nazo Bwana, zinanisonga sana, Moyo wangu wote umepondeka sana.