Ingia / Jisajili

Sadaka Yangu Ee Mungu

Mtunzi: Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Mfahamu Zaidi Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. C.P. Charo, OFM Cap.

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Charles charo

Umepakuliwa mara 990 | Umetazamwa mara 2,903

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sadaka yangu Ee Mungu wangu naileta (leo) mbele ya altare yako takatifu (nakuomba) uipokee na unibariki x2 1. Ee Bwan Mungu wajua mapato yangu kwani wewe ndiwe mpaji wa vitu vyote pokea sadaka hii leo 2. Mazao ya mashamba ninayo nakutolea, hiyo ni shukurani yangu kwako nakuomba unibariki 3. Nafedha za mifukoni ninakutolea, asante Bwana kwa kunijalia nakuomba uzipokee

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa