Ingia / Jisajili

Sadaka Yetu Ya Leo

Mtunzi: Cylirus Albert Kaijage
> Mfahamu Zaidi Cylirus Albert Kaijage
> Tazama Nyimbo nyingine za Cylirus Albert Kaijage

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Cylirus Kaijage

Umepakuliwa mara 90 | Umetazamwa mara 238

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sadaka yetu ya leo Bwana ikupendeze, mikononi mwake padre iwe kama moshi wa ubani. Twakutolea sadaka, twakutolea vipaji, twakutolea na fedha zikupendeze Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa