Ingia / Jisajili

Sala Yangu

Mtunzi: Pancras Shayo Justine (Mzungu Jp)
> Mfahamu Zaidi Pancras Shayo Justine (Mzungu Jp)
> Tazama Nyimbo nyingine za Pancras Shayo Justine (Mzungu Jp)

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Pancras Justine

Umepakuliwa mara 231 | Umetazamwa mara 1,069

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Sala yangu mimi na ipae mbele yako Bwana [Mungu wangu kama moshi wa ubani] Mungu wangu. VIIMBILIZI 1. Kama moshi wa ubani Ee Bwana tupokee tunaomba tutakase tuwe kama Sadaka ya jioni. 2. Ee Bwana upokee Dhabihu zetu tunazokutolea kama shukrani zetu kwako Bwana. 3. Ee Bwana upokee nazo Sala zetu tunazokutolea na nia zetu upokee. 4. Uwe radhi kwa Sadaka yetu hii ya leo Ee Bwana tujalie fanaka na amani siku zote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa