Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 3,002 | Umetazamwa mara 7,072
Download Nota Download MidiSalamu Ekaristi ustaarabu wa mbinguni uliofichwa hapa chini kwenye utamaduni wa dunia
1. Sakramenti kubwa hii umo Yesu Kristo Mungu mzima kwenye kiini cha ngano na mvinyo tunakutazama kwa imani
2. Nafsi ya pili yako Mungu uliyemaliza kazi mtini ukatuachia kubwa alama Ekaristi takatifu
3. Asili ya upendo wote ni juu mbinguni uliko toka ukaugawa kwa watu wa nchi tuionje ladha ya upendo
4. Wanadamu tunainama peka yako wewe unastahili kubaki juu nakusujudiwa inuka inuka Mfalme wetu