Ingia / Jisajili

Salamu Maria

Mtunzi: Lazaro Mwonge
> Mfahamu Zaidi Lazaro Mwonge
> Tazama Nyimbo nyingine za Lazaro Mwonge

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Frt.John Nsenye

Umepakuliwa mara 400 | Umetazamwa mara 1,717

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Salamu Maria mama yetu, umejaa neema Bwana yu nawe na Yesu mzao wat umbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwet…AMINA × 2. Mashairi 1. Mama Maria kimbilio la wakosefu, msaada wetu tunakuomba uwe kiongozi katika ulimwengu uliojaa vishawishi vingi. 2. Mama Maria uwe faraja kwa wagonjwa, matumaini kwa wajane na yatima katika mahangaiko yao ya hapa ulimwenguni. 3. Mama Maria kioo cha haki, uwe mtetezi mwema kwa wote wanaoonewa, wafungwa na wote walioshitakiwa kwa uongo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa