Ingia / Jisajili

Wafundisheni Mataifa Yote

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 34 | Umetazamwa mara 54

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wafundisheni wafundisheni wafundisheni mataifa yote kuyashika yote niliyowaamuru ninyi asema Bwana X2

1. Na tazama mimi nipo pamoja nanyi siku zote hata ukamilifu wa dahari

2. Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa