Ingia / Jisajili

AMEFUFUKA BWANA YESU

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 526 | Umetazamwa mara 1,913

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
AMEFUFuKA Bwana yesu kaliacha kaburi liwazi .hakika tumshangilie Bwana yesu masia wetu .Kama alivyo tabili atafufuka siku ya tatu ni Kweli Bwana yesu ka ameshinda mauti kweli kafufuka.ka but right ni Tete meko likatoka pazia nalo likapasuka kwa sababu mwokozi yesu Kweli kafufuka X2 .(1).Hakika mwokozi wetu kweli amefufuka twimbe aleluya Bwana kashinda mauti .2.Minyororo ya shendani amevunja vunja twimbe aleluya Bwana yesu kafufuka.3.Kweli ni shangwe kubwa mbinguni na duniani utukufuna ukuu unayeye Bwana una Yeye Bwana.4.Tukiungana na malaika wa mbinguni kuushangilia ushindi wa Bwana yesu kaacha kaburi wazi niakika kweli Bwana kafufuka

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa