Maneno ya wimbo
Mshukuruni Bwana kwa kuwa nimwema ni mwema kwamaana fadhili zake ni za milele.x2.(1) l sraeli na aseme Sasa ya kwamba fadhili zake ni zamilele .mlango was haruni waseme Sasa ya kwamba fadhili zake ni zamilele .wamchao Bwana waseme Sasa ya kwamba fadhili zake ni za milele.(2)Mkono wakuume was Bwana umetu-kuzwa Mkono wakuume waBwana hutenda makuu sitakufa Bali nita_i shi.(3)Namini tayasimulia matendo ya Beans ameniadhibu Sana lakini akuniacha nife.(4).Jiwe walilo kataa waashi limekuwajiwe la pembeni neno hili limetoka kwa Bwana nalo ni ajabu machoni petu.(5) Siku hi ndio aliyo ifanya Bwana tuishangilie nakuifurahiya.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu